Friday, October 7, 2011
WAZIRI MKUU AKIWA NCHINI BRAZIL
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanafamilia wa Maofisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Brazil wakati alipowasili kwenye makazi ya Balozi katika jiji la Brasila akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 6,2011. Kulia ni Mkewe
0 maoni:
Post a Comment