Sunday, October 9, 2011
WAZIRI PINDA USO KWA USO NA KOCHA WA STARS ZAMANI MAXIMO
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu, Marcio Maximo kwenye hoteli ya JW MARRIOTT ya Rio de Janeiro akiwa katika ziara ya kikazi nchini Brazil Oktoba 8,2011 Katikati ni mkewe TunuWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu, Marcio Maximo kwenye hoteli ya JW MARRIOTT ya Rio deJaneiro akiwa katika ziara ya kikazi nchini Brazil Oktoba 8,2011.
0 maoni:
Post a Comment