Wednesday, October 19, 2011

WAZIRI WA FEDHA AZINDUA DEBIT MASTER CARD YA NBC

  Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo (kushoto) akikaribishwa na
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru alipokwenda
kuzindua rasmi kadi ya Debit Master Card ya NBC jijini Dar es Salaam
Jumanne jioni. Kulia ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki hiyo,
Mwinda Kiula-Mfugale
  Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo (katikati), Mkurugenzi Mtendaji
wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (kulia) na Mwakilishi wa Master Card
katika nchi za Afrika Mashariki na Visiwa vya Bahari ya Hindi,
Chariton Goredema wakionyesha mfano wa kadi ya Debit Master Card ya
NBC katika hafla ya uzinduzi rasmi wa kadi hiyo jijini Dar es Salaam
Jumanne jioni.
: Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo (kushoto) akibadilishana mawazo na
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (kulia)
alipokwenda kuzindua rasmi kadi ya Debit Master Card ya NBC jijini Dar
es Salaam Jumanne jioni. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya NBC, Dk
Mussa Juma Assad.
Mkuu wa Kitengo cha Shughuli za Kibenki wa NBC, William Kallaghe
akimpokea Waziri wa   Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo kabla hajazindua
rasmi kadi ya Debit Master Card ya benki hiyo jijini Dar es Salaam
Jumanne jioni. Kulia ni Mkuu Rasilimali Watu wa NBC, Blasius Lupenza.
: Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Lawrence Mafuru (kulia) akizungumza na
Ofisas Mwendeshaji Mkuu wa benki hiyo, Maharage Chande huku Mkuu wa
Masoko na Mawasiliano wa NBC, Mwinda Kiula-Mfugale akisikiliza katika
hafla ya uzinduzi rasmi wa kadi ya Debit Master Card ya NBC Jumanne
jioni jijini Dar es Salaam
Baadhi ya wafanyakazi wa NBC wakiselebuka katika sherehe za
uzinduzi wa kadi ya NBC Debit Master Card jijini Dar es Salaam juzi.
: Meneja Chapa na Matangazo wa NBC, Arden Kitomari akijadili jambo
na Mshauri wa Mambo ya Habari wa benki hiyo baada ya uzinduzi wa NBC
Debit Master Card jijini Dar es Salaam juzi.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU