Friday, October 14, 2011
WORLD FOOD PRIZE
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi ya kitabu kutoka kwa Rais wa zamani wa Brazil, Luiz Lula baada ya mazungumzo yao kwenye hoteli ya Marriott katika mji wa Des Moines, Iowa, Marekani October 13, 2011. Baadae Rais huyo alitunukiwa nishani ya Food PrizeWaziri Mkuu, Mizengo Pinda na Rais wa World Food Prize, Balozi Kenneth Quinn wakifurahia baada ya Waziri Mkuu kutoa salamu za Rais Jakaya Kikwete kwenye Mkutano wa World Food Prize kwenye hoteli Marriott aktika mji wa Des Moines, Iowa, Marekani October 13,2011
1 maoni:
Naona sasa Tanzania kuna chakula bora!
Post a Comment