Wednesday, November 30, 2011

BARABARA YA ARUSHA KARATU IMEANZA KUPITIKA

Hatimaye mawasliano ya barabara kati ya arusha na karatu yamerejea kama mwanzo  barabara hiyo juzi ilshindikana ilshindikana kupitika baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisa kufurika mto kirurumo ambao ulimwaga maji mengi hivyo kusukuma mawe na magogo na kupelekea kuziba barabara pamoja na kusababisha mtu mmoja kupoteza maisha hivi sasa magari yanapita ngombe watembea kwa miguu pamoja nawatalii ambao wana enda katika hifadhi ya ngorongoro picha na chris mfinanga

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU