Friday, November 25, 2011

MASHINDANO YA TUSKER YAANZA DSM

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, Leodegar Tenga ambaye pia ni
Rais wa CECAFA, akipokea tuzo baada ya kutangazwa kuwa Balozi wa
United Against Malaria Tanzania na mmoja wa viongozi wa taasisi ya
Johns Hopkins nchini, Anna McMartney (kushoto) katika hafla ya
kuyakaribisha mashindano ya Tusker Challenge Cup yanaliyoanza kutimua
vumbi jijini Dar es Salaam jana. Hafla hiyo iliyoandaliwa na United
Against Malaria  ilifanyika juzi jijini hum
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, Leodegar Tenga ambaye pia ni
Rais wa CECAFA, akipokea tuzo baada ya kutangazwa kuwa Balozi wa
United Against Malaria Tanzania na mmoja wa viongozi wa taasisi ya
Johns Hopkins nchini, Anna McMartney (kushoto) katika hafla ya
kuyakaribisha mashindano ya Tusker Challenge Cup yanaliyoanza kutimua
vumbi jijini Dar es Salaam jana. Hafla hiyo iliyoandaliwa na United
Against Malaria  ilifanyika juzi jijini humo. Katikati ni Naibu Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukandara.
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, Leodegar Tenga (wa tatu
kushoto) ambaye pia ni Rais wa CECAFA,akimtambulisha mmoja wa viongozi
wa taasisi ya Johns Hopkins nchini, Anna McMartney (kushoto) kwa Mumbe
wa CAF kutoka Afrika Kusini, Molefi Alephant (wa pili kulia) katika
hafla ya kuyakaribisha mashindano ya Tusker Challenge Cup yanaliyoanza
kutimua vumbi jijini Dar es Salaam jana. Hafla hiyo iliyoandaliwa na
United Against Malaria  ilifanyika juzi jijini humo. Wa pili kushoto
ni  Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella
Mukandara na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Serengeti Breweries,
Richard Wells.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU