Mkurugenzi Mtendaji wa Islamic Banking wa Benki ya Absa, AmmanMuhammad (wa tatu kushoto) akizungumza na baadhi ya wafunzi wa Shuleya Biashara ya Chuo Kikuu ch Dar es Salaam (UDBS) mara baada ya seminakuhusu taratibu za kibenki zinazofuata kanuni na misingi ya kiislamuiliyoandaliwa na Benki ya NBC Tanzania kwa kushirikiana na UDBS chuoni hapo Dar es Salaam leo. NBC ambayo Absa inamiliki hisa kubwa ilizindua akaunti zinazofuata misingi ya kiislamu hivi karibuni. Wa nne kushotoni Mshauri wa Kiufundi wa Islamic Banking wa NBC, Yassir Salim.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDBS) wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Islamic Banking wa Benki ya Absa, Amman Muhammad (kushoto) mara baada ya semina kuhusu taratibu za kibenki zinazofuata kanuni na misingi ya kiislamu iliyoandaliwa na Benki ya NBC Tanzania kwa kushirikiana na UDBS chuoni hapo Dar es Salaam leo. NBC ambayo Absa inamiliki hisa kubwa ilizinduaakaunti zinazofuata misingi ya kiislamu hivi karibuni.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDBS) wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Islamic Banking wa Benki ya Absa, Amman Muhammad (hayupo pichani) mara baada ya semina kuhusu taratibu za kibenki zinazofuata kanuni na misingi ya kiislamu
iliyoandaliwa na Benki ya NBC Tanzania kwa kushirikiana na UDBS chuoni hapo Dar es Salaam leo. NBC ambayo Absa inamiliki hisa kubwa ilizindua akaunti zinazofuata misingi ya kiislamu hivi karibuni
0 maoni:
Post a Comment