Thursday, November 3, 2011

PINDA AKUTANA NA BOSS MPYA WA VODACOM

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Kampuni ya simu za Mikononi ya VODACOM_Bw. Rene Meza kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 3, 2011  Katikati ni Ofisa Mkuu wa VODACOM TANZANIA, Mwamvita Makamba

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza  na Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Kampuni ya simu za Mikononi ya VODACOM_Bw. Rene Meza, ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 3, 2011. Katikati ni Ofisa Mkuu wa VODACOM TANZANIA, Mwamvita  Makamba

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU