Monday, November 28, 2011
WANASHERIA A. MASHARIKI NA UTAMADUNI WA WANARUKWA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kizungumza na Wakili wa Kujitegemea, Bibi Jessie Mnguto (kushoto) na mwanae Leila Mgonya (kulia) ambaye pia ni Msaidizi wa Waziri Mkuu wa Masuala ya Sheria katika Mkutano wa siku mbili wa Wanasheria wa Afrika ya Mashariki uliofanyika kwenye Hoteli ya Ngurdoto Arusha mwishoni kwa wikiWazee wa Mkoa wa Rukwa na Katavi wakinywa pombe ya kienyeji katika katika maonyesho ya siku ya Utamaduni wa makabila ya mikoa hiyo yaliyofanyika kwenye Kijiji cha Makumbusho na kufunguliwa na Makamu wa Rais, Dr. Ghalib Bilala mwishoni mwa wiki
0 maoni:
Post a Comment