Friday, November 25, 2011

WASANII NA MATUMIZI YA KISWAHILI SANIFU

Mtendaji kutoka Usanifu wa Kiswahili na Ushairi Tanzania (UKUTA) Mchamba A. Mchamba (Kulia) akiongea na Wadau wa Sanaa juu ya Ushairi na Usanifu wa Lugha ya Kiswahili Katika Kazi za Sanaa kwenye Jukwaa la Sanaa wiki hii. Kulia kwake ni Mkurugenzi  wa Utafiti, Mafunzo na Habari, BASATA Godfrey Mngereza
Mkurugenzi wa Utafiti, Mafunzo na Habari kutoka BASATA, Godfrey Mngereza akisisitiza jambo kwenye Jukwaa la Sanaa linalofanyika kila Jumatatu kwenye Ukumbi wa BASATA. Kulia ni Mchamba kutoka UKUTA
   Mkongwe wa Muziki wa Dansi na Mwanaharakati wa Sanaa, John Kitime akieleza juu ya haja ya kuwa na Sheria, Kanuni na Taratibu za kudhibiti utumizi wa lugha katika kazi za Sanaa.
Mdau akisoma moja ya Shairi aliloandika ambalo lilichaguliwa kuwa nyota na moja ya vyombo vya habari nchini huku akisikilizwa na sehemu ya Wadau wa Sanaa waliohudhuria Jukwaa la Sanaa wiki hii

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU