Marehemu amosi Dotto amefariki leo asubuhi akiwa njani mkoani Tabora kuelekea nyumbani kwao Ushi Rombo mkoani Shinyanga
Kwa sasa mipango ya mazishi inapangwa kwa ushirikiano wa ndugu,jamaa,wafanyakazi wenzake na wengine Amosi katika uhai wake alikuwa Dj maarufu wa vipindi mbalimbali katika vituo vya runinga.Aidha alikuwa Dj maarufu wa Hapa kwetu Integrated Kwenye promosheni mbalimbali
Kupitia blog ya jamii tunaomba kuifahamisha wanajamii na hasa wanataaluma ya habari na Djs wote kuhusu msiba huu mkubwaNarejea tena kutoa pole kwa jamii nzima






1 maoni:
RIP !!!
Post a Comment