Friday, December 30, 2011

GYM YA ZUGO YAENDELEA KUWAFUA VIJANA KWA MAZOEZI


Kocha wa ngumi wa timu ya Zugo GYM ya Gongo la Mboto, Mbaruku Heri (kushoto), akimfundisha bondia Abedi Zugo, jinsi ya kurusha masumbwi Dar es Salaam jana, wakati wa mazoezi ya kujiandaa kucheza na Juma Mohamedi

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU