Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (kushoto,
mstari wa mbele) pamoja na mkewe, Noella Mafuru (nyuma yake)
wakiwaongoza baadhi ya wafanyakazi na wenza wao katika hafla ya
kumaliza mwaka iliyoandaliwa na mkurugenzi huyo jijini Dar es Salaam

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (wa pili
kulia) akisalimiana na Meneja wa Tawi la NBC Geita, Onael Mpeku
katika hafla ya kumaliza mwaka iliyoandaliwa na mkurugenzi huyo jijini
Dar es Salaam jana. Wa pili kushoto ni mke wa Mafuru, Noella na kulia
ni Meneja wa NBC Kahama, Martin Mkanda

Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa NBC, Maharage Chande (kushoto)
akibadilishana na mawazo na Mkuu wa Mauzo Kitengo cha Makampuni,
Minnie Adolf Kibuta katika hafla ya kumaliza mwaka iliyoandaliwa na
Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Lawrence Mafuru (hayupo pichani) jijini
Dar es Salaam

Mshauri wa Habari wa NBC, Redemptus Masanja (kushoto) na Mkuu wa
Kitengo cha Huduma kwa Wateja, Mama Jane Dogani wakiselebuka pamoja na
baadhi ya wafanyakazi wa NBC na wenza wao, katika hafla ya kumaliza
mwaka iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Lawrence Mafuru
(hayupo pichani) jijini Dar es Salaam

Meneja Chapa na Matangazo wa NBC, Arden Kitomari (katikati)
akifanya vitu vyake pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa NBC, katika
hafla ya kumaliza mwaka iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC,
Lawrence Mafuru (hayupo pichani) jijini Dar es Salaam

Baadhi ya wafanyakazi wa NBC na wenza wao, wakijimwaga ukumbini
kusherehekea pati ya kumaliza mwaka iliyoandaliwa na Mkurugenzi
Mtendaji wa benki hiyo, Lawrence Mafuru (hayupo pichani), jijini Dar
es Salaam

0 maoni:
Post a Comment