Kocha wa timu ya YANGA PAPIC amesema mpaka sasa wachezaji hawana hela mishahara hawajapata uongozi hauna mpango wa kutatua tatizzo hilo jambao ambalo linawakatisha wachezaji kuendelea na mazoezi na kujituma kuapungua.
Akizungumza na waandishi wa habari Jijini DSM PAPIC amesema mchezaji DAVIC MWAPE ameamua kurudi nyumbani kwako kutokana na ugumu wa maisha hapa jijini ukizingatia kuwa viongozi wa haya halifanyii kazi jambo hilo.
Gari la YANGA limekosa mafuta hivyo inakuwa usumbufu kufika sehemu anayotakiwa kwenda ,pamoja na kukosa fedha za kununulia mikanda ya timu ya zamaleck wapinza ni wa yanga katika michuano ya klabu bingwa AFRIKA.
PAPIC ameomba uongozi wa yanga kuliangalia jambo hilo ili kumaliza utata uliopo na kuendelea na programe ya kikosi chake kama kawaida na si vinginevyo.






0 maoni:
Post a Comment