Friday, December 30, 2011

RAIS KIKWETE ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MTANGAZAJI WA TBC MAREHEMU HALIMA MCHUKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI

                     Baadhi ya ndugu jamaa na marafiki akiwemo mkurugenzi wa zamani wa TBC TIDO MHANDO wakati wa kuaga mwili wa marehemu HALIMA MCHUKA
 Rais Jakaya Kikwete akipeana mkono na Mkurugenzi Mkuu wa TBC Bw Clement Mshana wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa mtangazaji Halim Mchuka leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, kabla ya kwwenda kuzikwa makaburi ya Msasani baada ya Sala ya Ijumaa
Rais Jakaya kikwete akiwapa pole wafiwa
 Rais Jakaya Kikwete na waombolezaji wakiombea mwili wa Halima Mchuka

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU