Vilabu vya SIMBA na YANGA vitacheza mechi ya kirafiki na timu ya ESCOM kutoka MALAWI .
Timu ya YANGA ndiyo itakuwa ya kwanza kufungua dimba na ESCOM DEC 24 wakati SIMBA itashuka dimbani DEC 25 mechi hizo zitafanyika uwanja wa Taifa Jijini DSM.
Kiingilio katika mchezo huo chini elfu moja wakati vip elfu kumi





0 maoni:
Post a Comment