Sunday, January 1, 2012

PM ATEMURIKO DARBELEA WAATHIRIKA WA MAF

 Vijana wakipika ugali kwa ajili ya waathirika wa mafuriko ya Dar es salaam walioweka kambi kwenye shule ya sekondari ya Benjamin jijini Dar es salaam wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipowatembelea Desemba 31, 2011

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya waathirika wa mafuriko yaliyotokea Dar es salaam ambao wameweka kambi katika shule ya sekondari ya Benjamin Mkapa Desemba 31, 2011

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU