Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Busega, Titus Kamani kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Januari 31, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo kati yake na Mbunge wa Mkuranga na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Adam Malima (watatu kulia), Mbunge wa Kigoma Kusini David Kafulila (wapili kulia) na Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Januari 31, 2012.
0 maoni:
Post a Comment