Thursday, January 26, 2012

ZANTEL YAZINDUA EZY PESA KWA KISHINDO DAR.

Ofisa Biashara Mkuu wa Zantel, Ahmed Mokhels (kulia), akizungumza
wakati wa uzinduzi wa huduma za kifedha kwa kupitia simu za mkononi ya
Ezy Pesa ya Zantel jijini Dar es Salaam jana jioni. Wengine kutoka
kushoto ni Mwenyekiti wa Shirika la Bima la Taifa, Balozi Charles
Mutalemwa, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Zantel, Ali Bin Jarsh na Naibu
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Technolojia, Charles Kitwanga.

Ofisa biashara Mkuu wa Zantel, Ahmed Mokhels (kutoka kushoto),
Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Ali Bin Jarsh, Naibu Waziri wa
Mawasiliano, Sayansi na Technolojia, Charles Kitwanga na Mwenyekiti wa
Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bima la Taifa, Balozi Charles
Mutalemwa wakizundua  huduma za kifedha kwa kupitia simu za mkononi ya
Ezy Pesa ya Zantel jijini Dar es Salaam jana jioni
Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Juma Reli (kushoto )
akishikana mikono na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Zantel
Tanzania, Ali Bin Jarsh wakati wa uzinduzi wa huduma za kifedha kwa
kutumia simu ya mkononi ya Ezy Pesa ya kampuni ya Zantel  jijini Dar
es Salaam jana jioni. Katikati ni Ofisa Biashara Mkuu wa Zantel, Ahmed
Mokhels.

Wasanii wa Tanzania House of Talent, wakitumbuiza wakati wa hafla
ya uzinduzi wa huduma za kifedha kwa kutumia simu ya mkononi ya Ezy
Pesa ya kampuni ya Zantel  jijini Dar es Salaam jana jioni

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU