Tuesday, February 7, 2012

RAIS JK ASHUHUDIA UWEKAJI SAINI WA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO KUPAMBANA NA MAHARAMIA

 :Rais Jakaya Kikwete na  Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali wakishuhudia  Mawaziri wa ulinzi wa Msumbiji Bw Filipe Jacinto Nyarusi (shoto), wa Tanzania  Dr Hussein Mwinyi (wa pili kushoto), na wa Afrika Kusini  DKT L.N. Sisulu wakitiliana saini ya mkataba wa makubaliano (moU) katika mapambano dhidi ya maharamia kati ya nchi zao.
 Rais Jakaya Kikwete na  Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali washuhudia awaziri wa ulinzi wa Msumbiji Bw Filipe Jacinto Nyarusi (shoto)na  wa Tanzania  Dr Hussein Mwinyi  wakibadilishana nyaraka huku  wa Afrika Kusini  DKT L.N. Sisulu akitazama baada ya mawaziri hao kutiliana saini ya mkataba wa makubaliano (moU) katika mapambano dhidi ya maharamia kati ya nchi zao.
 Rais Jakaya Kikwete akiongea huku Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali na Mawaziri wa ulinzi wa Msumbiji Bw Filipe Jacinto Nyarusi (shoto), wa Tanzania  Dr Hussein Mwinyi (wa pili kushoto), na wa Afrika Kusini  DKT L.N. Sisulu baada ya mawaziri hao kutiliana saini ya mkataba wa makubaliano (moU) katika mapambano dhidi ya maharamia kati ya nchi zao.
Rais Jakaya Kikwete na  Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali wakiwa katika picha ya pamoja na  na Mawaziri wa ulinzi wa Msumbiji Bw Filipe Jacinto Nyarusi (shoto), wa Afrika Kusini  DKT L.N. Sisulu na wa Tanzania Dkt Hussein Mwinyi  baada ya mawaziri hao kutiliana saini ya mkataba wa makubaliano (moU) katika mapambano dhidi ya maharamia kati ya nchi zao.
Rais Jakaya Kikwete na  Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali wakiongea na Mawaziri wa ulinzi wa Msumbiji Bw Filipe Jacinto Nyarusi (shoto), wa Tanzania  Dr Hussein Mwinyi (wa pili kushoto), na wa Afrika Kusini  DKT L.N. Sisulu baada ya mawaziri hao kutiliana saini ya mkataba wa makubaliano (moU) katika mapambano dhidi ya maharamia kati ya nchi zao.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU