Friday, February 24, 2012

RAIS KIKWETE AWASILI GHABERONE, BOTSWANA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MBILI

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua paredi ya Majeshi ya nchi hiyo.
Rais  Dkt. Jakaya  Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Botswana Luteni Jenerali Seretse Khama Ian Khama katika Uwanja wa Ndege wa Sir Serese Khama jijini Gaborone, Botswana,wakati Rais Kikwete alipowasiri nchini humo leo kwa ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo pia atahudhuria sherehe za miaka 50 tangu kuzaliwa kwa chama tawala cha nchini huko cha BOTSWANA DEMOCRATIC PARTY.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Rais wa Botswana Luteni Jenerali Seretse Khama Ian Khama wakati alipowasili Uwanja wa Ndege wa Sir Seretse Khama jijini Gaborone, Botswana, leo kwa ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo pia atahudhuria sherehe za miaka 50 tangu kuzaliwa kwa chama tawala cha nchini huko cha BOTSWANA DEMOCRATIC PARTY.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyeji wake Rais wa Botswana Luteni Jenerali Seretse Khama Ian Khama wakiangalia ngoma mashuhuri ya makhirikhiri.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa kwa shangwe baada ya kuwsili Gaborone.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU