Thursday, February 16, 2012

TBL KUPITIA KINYWAJI CHAKE CHA REDD'S IMEINGIA MKATABA NA WAANDAAJI WA MISS TANZANIA

Baadhi ya warembo wakizindua logo mpya ya Redds Miss Tanzania 
Na hii ndio logo mpya ya Redd's Miss Tanzania 2012

Kampuni ya Bia Nchini TBL kupitia kinywaji chake cha Redd's imezindua logo mpya ya Redd's Miss Tanzania baada ya kuingia mkataba wa miaka mitatu na waandaaji wa Miss Tanzania.

Waandaaji wa Miss Tanzania wameingia mkataba mpya na kampuni ya TBL baada ya kumalizika mkataba wa miaka mitano na kampuni ya simu za mikononi Vodacom. 

Mkataba huo na TBL utagharimu milioni mia saba kwa mwaka na unatarajia kumalizika mwaka 2014

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU