Msanii Toogwa Madilisha wa Kijiji cha Chela katika jimbo la uchaguzi la Msalala wilayani Kahama akicheza ngoma ya pachanga wakati Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipohutubia Mkutano wa hadhara katika kijiji hicho akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga, Februari 25, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua banda la ngombe wanaofugwa kisasa wa familia ya Raphael Masanja katika kijiji cha Nyamigege katika jimbo la Uchaguzi la Msalala wilayani Kahama akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Februari 25, 2012
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa amempakata mtoto Raphael Mihayo (2) wakati alipokagua mradi wa ufugaji wa ng'ombe wa kisasa kwenye familia ya Mzee Raphael Masanja katika kijiji cha Nyamigege wilayai Kahama akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Februari 25, 2012.
0 maoni:
Post a Comment