Monday, February 13, 2012

WAZIRI MKUU APOKEA MCHANGO WA WAATHIRIKA WA MAFURIKO YA DAR KUTOKA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa  Zanzibar,Balozi Seif Idd kabla ya kupokea hundi ya Shilingi milioni hamsini (50,000,000/=) ukiwa ni mchango wa  Serikali  ya Mapinduzi ya Zanzibar  kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea Dar es salaam hivi karibuni.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea hundi ya 50,000,000/= kutoka kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd ukiwa ni mchango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea Dar es salaam hivi karibuni.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU