Wednesday, February 22, 2012

WAZIRI MKUU NA MKEWE WAKIWA HUKO MASWA NA BARIADI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakicheza ngoma ya Watemi wa Kisukuma  baada kupewa heshima ya kuwa Mtemi Masanja na Mkewe kuwa Ngole kwenye uwanja wa michezo wa Maswa wakiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga  Februari 20, 2012. Wanne kushoto ni Mtemi Majebele  ambaye ndiye alimpa heshima hiyo. 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakicheza ngoma ya Watemi wa Kisukuma  baada kupewa heshima ya kuwa Mtemi Masanja na Mkewe kuwa Ngole kwenye uwanja wa michezo wa Maswa wakiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga  Februari 20, 2012. Kulia kwake ni Mtemi Majebele  ambaye ndiye alimpa heshima hiyo. 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakicheza ngoma ya Watemi wa Kisukuma  baada kupewa heshima ya kuwa Mtemi Masanja na Mkewe kuwa Ngole kwenye uwanja wa michezo wa Maswa wakiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga  Februari 20, 2012. Kushoto ni Mtemi Majebele  ambaye ndiye alimpa heshima hiyo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na Mkewe Tunu  (wapili kushoto) wakimshukuru Mtembi Majebele  baada ya kupewa heshimi ya Kuwa Mtemi Masanja na mkewe kuwa Ngole katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa michezo wa Maswa Februari 20, 2012. Walikuwa kwenye ziara ya mkoa wa Shinyanga.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua tawi la Benki ya CRDB la Bariadi akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Februari 21, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua tawi la Benki ya CRDB  nla Bariadi baada ya kulifungua Februari  21, 2012..  Alikuwa  katika ziara ya mkoa wa Shinyanga.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea hundi ya 5,000,000/= kutokwa Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya CRD, Tuli Mwambapa  baada ya kufungua tawi la Benki hiyola Bariadi Februari 21m 2012. Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU