Sunday, March 11, 2012

HATIMAE SIMBA NATOTO AFRICA ZATOKA DROO

Wachezaji wa Simba ta Toto Africa ya Mwanza wakisalimiana kabla ya kuanza kwa mchezo huo kwenye uwanja wa Taifa.Picha na full shangwe

Mchezaji wa timu ya Simba Felix Sunzu akimtoka beki wa timu ya Toto Africa ya Mwanza katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jioni hii, Mpira umekwisha na hakuna timu iliyofanikiwa kupata goli katika dakika tisini hakuna alie fanikiwa kumfunga mwezake. Kocha Milovan ameipongeza timu ya Toto Africa kwa kucheza vizuri, wao walitaka kushinda lakini hawakuweza kufanya vizuri .Picha na Full Shangwe

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU