Meneja wakinywaji cha Redds Original Victoria kimaro kulia akizungungumza juu ya umuhimuwa semina hiyo na mikakati ya mwaka huu kwenye semina ya mawakala wa Redds MissTz 2012 iliyoanza leo na itamalizika kesho.
Mawakala wa Shindano la Redds Miss Tanzania2012 wakiwa katika chumba cha mkutano wakifuatilia hotuba ya ufunguzi kutokakwa Hashim Lundenga Mkurugenzi waRedds Miss Tanzania inayofanyika kwa siku mbilikwenye Hotel ya Kitalii ya Girraf Jijini Dar Es Salaam.
Lundengaalisema kuwa Kamati hiyo kupitia wadhamini wamedhamiria mwaka huu kufanyamapinduzi makubwa katika tasnia ya Urembo nchini na waandaaji pia wamedhamiriakupata warembo bora watakao shiriki shindano hilo la urembo mwaka huu.
Lundengapia alitoa kaulimbiu ya mashindano hayo kwa mwaka huu kuwa ni “MSHINDI BORA,MWAKILISHI BORA, MWENYE SIFA BORA”
0 maoni:
Post a Comment