Friday, March 9, 2012

TBC KUIVAA TIMU YA JAMBO LEO KATIKA MICHUANO YA NSSF

Timu ya mpira wa miguu ya TBC jumamosi wiki hii inashuka dimbani kwenye mashindano ya vyombo vya habari NSSF ambapo timu ya TBC itafungua dimba na timu ya Jambo Leo ndio bingwa mtetezi wa michuano hiyo. Meneja wa timu ya TBC Chacha Maginga ametamba kuibuka na ushindi dhidi ya timu ya Jambo Leo.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU