Kiongozi wa Baendi ya Frankman, Mussa Kajiru akipiga gitaa kwa mbwembe za aina yake wakati wa uzinduzi wa muonekano mpya wa Balimi Extra Lager Mkoani Tabora
Meneja wa Bia ya Balimi Extra Lager, Edith Bebwa akicheza sambamba na wageni waalikwa pamoja na wafanyakazi wa Kampuni ya Intergrated Commonication waliovalia sare wakati wa uzinduzi wa muonekano mpya wa Balimi Extra Lager Mkoani Tabora.
0 maoni:
Post a Comment