Friday, March 23, 2012

WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA WADAU WA PAMBA NCHINI

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na wadau wa zao la pamba na wenye viwanda vya nguo vinavyotumia zao hilo nchini, ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi 23, 20012
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa zao la pamba na wenye viwanda vya nguo vinavyotumia zao hilo baada ya kuzungumza nao, ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi 23,2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi wa viwanda vya nguo vya NIDA Textile Mill Tanzania Limited, Bw. Hasnain Rafiq Pardesi (kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha nguo cha Mwatex, Amin Ladhani (kulia)  na Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha nguo cha NIDA, Elihuruma Mabel (wapili kushoto) baada ya kufanya kikao na wadau wa zao la pamba nchini na wenye viwanda vya nguo vinavyotumia zao hilo, ofisini  kwake jijini Dar es salaam Machi 23, 2012

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU