Thursday, April 26, 2012

BENKI YA NBC YAANDAA MKUTANO WA MASUALA YA KIUCHUMI KWA WATEJA WAKE.

Maofisa wa ABSA Capital ambayo ni sehemu ya Benki ya ABSA ya Afrika Kusini wakiwa katika mkutano wa masuala ya kiuchumi ulioandaliwa na NBC pamoja na ABSA Capital jijini Dar es Salaam jana jioni. Katikati ni Ridle Markus, Jeff Gable (kushoto), Pius Tibarazwa (wa pili kushoto) wa NBC Tanzania na Michael Keenan (kulia) wa ABSA. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (kulia) akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo wa makampuni katika mkutano wa masuala ya kiuchumi ulioandaliwa na NBC pamoja na ABSA Capital ambayo ni sehemu ya Benki ya ABSA ya Afrika Kusini jijini Dar es Salaam jana jioni. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru (kushoto) akimsikiliza mmoja wa maofisa wa ABSA Capital ambayo ni sehemu ya benki ya ABSA ya Afrika Kusini, Jeff Gable, katika mkutano wa masuala ya kiuchumi ulioandaliwa na NBC pamoja na ABSA Capital kwa wateja wa makampuni wa NBC, jijini Dar es Salaam jana jioni. Wa pili kushoto ni Mohamed Sayed wa ABSA Capital na Mkuu wa Idara ya Fedha na Masoko wa NBC, Pius Tibarazwa. 
Mkuu wa Idara ya Fedhana Masoko wa Benki ya NBC Tanzania, Pius Tibarazwa (kushoto) akizungumza na mmoja wa maofisa wa ABSA Capital ambayo ni sehemu ya Benki ya ABSA ya Afrika Kusini, Jeff Gable katika mkutano wa masuala ya kiuchumi ulioandaliwa na NBC pamoja na ABSA Capital kwa wateja wa makampuni wa NBC, jijini Dar es Salaam jana jioni. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (katikati) akisalimiana na baadhi ya wateja wa makampuni wa benki hiyo katika mkutano wa masuala ya kiuchumi ulioandaliwa na NBC pamoja na ABSA Capital ambayo ni sehemu ya Benki ya ABSA ya Afrika Kusini jijini Dar es Salaam jana jioni.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU