Tuesday, April 24, 2012

CHELSEA HIYOOOOOOOOOOOOO FAINALI KOMBE LA UEFA

Timu ya CHELSEA imetinga fainali ya klabu bingwa ULAYA baada ya kutoka sare ya magoli mawili kwa mawili na timu ya BARCELONA katika mchezo wa marudiano uliofanyika katika uwanja wa BARCELONA .

Katika mchezo huo BARCELONA walianza kupata bao kupitia kwa mchezaji Sergio na bao la pili likafungwa na mchezaji Iniesta .wakati CHELSEA ilipata mabao yake kupitia kwa wachezaji Ramires na Torres.
Kwa matokeo hayo CHELSEA imepita ikiwa na jumla ya magoli 3 kwa 2

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU