Monday, April 2, 2012

KAMPUNI YA KONYAGI TANZANIA YAWAKABIDHI VYEREHANI VIKUNDI VYA AKINA MAMA MBEYA

Mbenge wa Viti maalum mkoa wa Mbeya Dr Merry Mwanjelwa Kuliaakipokea vyerehani toka kampuni ya Konyagi Nchini vilivyotolewa kwaajili yakuwawezesha vikundi vya akina mama wa Mkoa wa Mbeya.Anaekabidhi vyerehani hivyoni Mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya Konyagi nchini David Mgwasa.
Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Konyagi Nchini Bwana DavidMgwasa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam kwenye dhifa yakukabidhi vyerehani kwa vikundi vya akina mama wa Mkoa wa Mbeyavilivyokabidhiwa kwa Dr Marry Mwanjelwa Mbunge Viti maalum Mkoa wa Mbeya.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU