Sunday, April 29, 2012

SIMBA YATAKATA UWANJA WA TAIFA YAIFUNGA AL AHLY SHANDY MABAO 3-0

Timu ya SIMBA imetaka katika uwanja wa Taifa Jijini DSM baada ya kuifunga AL AHLY SHANDY kwa magoli matatu kwa bila .

Mabao ya SIMBA yalifungwa na mchezaji HARUNA MOSHI, PATRICK MAFISANGO na mchezaji EMANNUEL OKWI,kwa ushindi huo SIMBA inahitaji sare yoyote ile ili kusonga mbele katika mashindano hayo Picha na FULL SHANGWE

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU