Baadhi ya Mashabiki wa mchezo wa kuogelea waliohudhuria mashindano hayo.
Baadhi ya washiriki wa mashindano ya kuogelea wakichumpa kwenye maji
Time Keepers wakihakikisha washindi wanapatikana kihalali.
Time Keepers waliosimamia shindano hilo wakipungia mashabiki.
Meneja Masoko wa CFAO Motors Bw. Alfred Minja akiwavisha medali baadhi ya washindi wa mashindano ya kuogelea yaliyofanyika katika Shule ya Hopac iliyopo jijini Dar es Salaam.
Makocha, wazazi na wanamichezo wakisubiri kutajwa kwa washindi wa mashindano ya kuogelea yaliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa Juma.
Kampuni na taasisi mbalimbali nchini Tanzania zimepewa witowa kusaidia udhami wa kusaidia mashindano yajayo ya kuogelea ili washiri wawezekuwakilisha vyema na kuitangaza Tanzania.
Akizungumza na Mwandishi wetu Mkurugenzi wa Ufundi wa Chamahicho Bw. Marcelino Ngalioma ambaye ameandaa mashindano kuogelea kwa vilabu vyote vya Tanzania, amesema mashindano hayo mwaka huu yamefanikiwa sana ambapovilabu 250 vimeshiriki.
Amesema mwaka huu mashindano hayo yameonyesha mafikiomakubwa kwa kuwa mara ya mwisho kulikuwa na washiriki 170 pekee, lakini sasawamepata washiriki kutoka mikoa ya Mwanza, Arusha, Mwanga, Moshi, Morogoro, Zanzibarna dare s Salaam.
Aidha Bw. Ngalinoma ametoa shukrani za dhati kwa kampuniinayojishughulisha na usambazaji wa magari ya NISSAN ya CFAO Motors kwa kutoaudhamini ikiwa ni pamoja na kuhahakisha mchezo huo unakuwa hapa nchini.
Pia amesema hivi karibu chama hicho kitarajia kuwa na kambimaalum kwa ajili ya wachezaji wake (Residential Camp) kwa muda wa mwezi mzimawakijiandaa kwa mashindano yatakayofanyika Nairobi nchini Kenya.
Amefafanua kuwa Mashishindano hayo ni kwa Arika nzima nayatakayoshirikisha vijana na pia kutakuwa na mashindayo ya wazi (OpenChmpionship) yatakayofanyika kuanzia mwezi Septemba tehe Mosi na terehe 2.
Vilevile amesema wakati huo huo watakuwa wanamuandaamwogeleaji mmoja anaitwa Magdalena Moshi anayekwenda kushiriki michuano yaOlimpiki ikiwa ni pamoja na kufanya mafunzo mikoani ili kuhakikisha mchezo huounaendelea nchi nzima.
Katika kuunga mkono maendeleo ya mchezo huo kampuni ya CFAOMotors imeamua kutoa mchango wake kwa kudhamini mashindano hayo kwa kuwa imeonani mchezo wenye manufaa kimichezo na kiafya na huenda ukafanikiwa kulitangazataifa tofauti na michezo mingine ambapo kampuni kadhaa zinawekeza lakinimatunda hayaonekani.
Akizungumza Mkurugenzi wa Masoko wa CFAO Motors Bw. AlfredMinja amesema kampuni hiyo inakusudia kufanya mazungumzo na chama hicho nakuangalia njia watakazo tumia kuwalea na kuwaendeleza wachezaji wa mchezo huo.
0 maoni:
Post a Comment