Mkurugenzi wa kampuni ya LINO Agency ambao ni waandaaji wa Shindano la Redds Miss Tz Hashimu Lundenga katikati akizungungumza na warembo wanashiriki shindano la Redds Miss IFM juu ya vigezo na taratibu za kumpata mshindi kwenye fainali zinazotarajia kufanyika SINE Club jumamosi ya juma hili,Kulia ni Mwandaaji wa Redds Miss Dar Inter College na kushoto Ni afisa toka kamati ya Redds Miss Tanzania.
Msanii wa musiki wa Kizazi kipya Diamondi akielezea namna alivyojiandaa kufanya unyesho kubwa kwenye fainali ya Redds Miss IFM jumamosi ya juma hili kwenye Ufukwe wa CINE CLUB kulia ni warembo wa shindano hilo Rosa Damazo ,Waliosimama ni Teressia Issaya kulia na Caroline Dandu kushoto na Mwalimu wao Estar Wilsoni
0 maoni:
Post a Comment