Thursday, May 17, 2012

MAWAZIRI WA ARDHI,MAZINGIRA WATOA TAARIFA YA ZOEZI LA BOMOA BOMOA NYUMBA ZA UFUKWENI NCHINI.

Makamuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,amekutana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. AnnaTibaijuka na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Terezya Huvisa,kwa mazungumzo na kupokea taarifa ya zoezi la Bomoa bomoa  nyumba zilizojengwa maeneo ua Ufukweni, ambalolinatarajia kuanza hivi karibuni. Mazungumzo hayo yalifanyika Ofisini kwaMakamu wa Rais, Ikulu Dar es Salaam leo Mei 17, 2012. Katika picha kutoka(kushoto) ni Katibu wa Wizara ya Ardhi, Veldiana Mashingia, Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka (kulia) ni Mkurugenzi waMazingira, Dkt. Julius Ningu na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais(Mazingira) Dkt. Terezya Huvisa, baada ya mazungumzo hayo.  
Makamuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,amekutana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. AnnaTibaijuka na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Terezya Huvisa,kwa mazungumzo na kupokea taarifa ya zoezi la Bomoa bomoa  nyumba zilizojengwa maeneo ua Ufukweni, ambalolinatarajia kuanza hivi karibuni. Mazungumzo hayo yalifanyika Ofisini kwaMakamu wa Rais, Ikulu Dar es Salaam leo Mei 17, 2012. Katika picha kutoka(kushoto) ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. AnnaTibaijuka (kulia) ni Mkurugenzi wa Mazingira, Dkt. Julius Ningu na Waziri waNchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Terezya Huvisa, baada yamazungumzo hayo.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU