Saturday, May 19, 2012

OMY DIMPOZ ANATARAJIA KUZINDUA SINGLE YAKE MPYA ITAKAYOTAMBULIKA KWA JINA LA "BAADAE"

BAADAya kutamba na wimbo wake wa Nai Nai Msanii anaekuja juu kwa kasi na mshindi waTuzo mbili za Kili Music Award 2012, Omy Dimpoz anataraji kuzindua Single yakempya ya Baadae katika ukumbi wa ClubBilcanas jijini Dar es Salaam.

Akizungumzana mtandao huu wa Kijamii, Meneja wa Msanii huyo, Mbaruku Issa ‘Mubenga’alisema kuwa maandalizi yote yamekamilika na show itakuwa ya uhakika nay a kuvutia.

Mubengaamesema Ommy Dimpozy anataraji kuzindua wimbo huo aliofanyiwa kazi na Mwandaajiwa muziki Man Water huku spoting ya wimbo huo ikifanywa na mwanadada Angel.

AidhaMubenga amesema Dimpoz atasindikizwa na wakali wa Bongo Fleva, Diamond, Ben Polpamoja na msanii Alawi Jr pamoja na Ma DJ wakali wa Bongo kutoka kundi la SuperDeejayz.

TayariDimpoz ameshaanza kuwasikilizisha wimbo huo baadi ya mashabiki wake wa mikoa yaMwanza na Moshi wakati wa Ziara ya Wakali wa Kili Music Awartd 2012inayoendelea ambapo leo atakuwa Mbeya chini ya Bia ya Kilimanjaro.

“Wimboni mkali na mashabiki wanaukubali vilivyo na tunaomba mashabiki wa Bongo Fleva maketayari kwa singo hiyo mpya itakayoanza sasa kuchezwa katika vituo vya redio nakumbi za burudani nchini kote baada ya uzinduzi huo,” alisema Mubenga.
Mungengaamewakata wakazi wa jiji la Dar es Salaam ambao ni mashabiki na wapenzi wamuziki wa kizazi kipya kujitokeza kwa wingi kumpa support Dimpoz katikauzinduzi huo wa aina yake katika Club ya Bilcanaz katikati ya jiji la Dar esSalaam jumapili.


0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU