Monday, May 21, 2012

MAKAMU WARAIS DKT BILAL AFUNGUA MKUTANO WA SIKU NNE WA KUBADILISHANA UZOEFU BAINA YASERIKALI YA TANZANIA NA CHINA KUHUSU MAFUNZO YA ULINZI.

 Makamuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akipokea zawadi kutoka kwa Meja General Charles Lawrence Makakala, baada yakufungua rasmi mkutano wa siku nne wa  kubadilishanauzoefu baina ya Serikali ya Tanzania na China, kuhusu mafunzo ya Ulinzi.Ufunguzi huo umefanyika leo Mei 21, 2012 katika Chuo kipya cha Jeshi NationalDefence College (NDC) kilichojengwa na Wachina eneo la Kunduchi jijini Dar esSalaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal. Akisomahotuba yake wakati akifungua mkutano wa siku nne wa kubadilishana uzoefu bainaya Serikali ya Tanzania na China, kuhusu mafunzo ya Ulinzi. Ufunguzi huoumefanyika leo Mei 21, 2012 katika Chuo kipya cha Jeshi National DefenceCollege (NDC) kilichojengwa na Wachina eneo la Kunduchi jijini Dar es Salaam.
 Makamuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akipokea zawadi kutoka kwa Liutenant General wa Jeshi la Bangladesh, M F Akbar,baada ya kufungua rasmi mkutano wa siku nne wa  kubadilishana uzoefu baina ya Serikali yaTanzania na China, kuhusu mafunzo ya Ulinzi. Ufunguzi huo umefanyika leo Mei21, 2012 katika Chuo kipya cha Jeshi National Defence College (NDC)kilichojengwa na Wachina eneo la Kunduchi jijini Dar es Salaam.
 Makamuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowasa, wakati akiondoka katika Chuocha Mafunzo ya Jesho cha National Defence College (NDC) baada ya kufungua rasmimkutano wa siku nne wa   kubadilishana uzoefu baina ya Serikali yaTanzania na China, kuhusu mafunzo ya Ulinzi. Ufunguzi huo umefanyika leo Mei21, 2012 katika hicho kipya cha kilichojengwa na Wachina eneo la Kunduchijijini Dar es Salaam.
 Makamuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwakatika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo mara baada ya kuufunguarasmi leo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakiwa katika ukumbi wa mkutano wakatiMakamu wa Rais Dkt Bilal, akifungua mkutano huo leo.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU