Saturday, May 5, 2012

REDDS MISS USTAWI WA JAMII 2012

Mshindi wa Taji la Redds Miss Ustawi wa Jamii Hilda Edward katikakati akipunga mikono baada ya kufanikiwa kutunukiwa taji hilo huku washindi wengine Nancy Wiliam na Ndenisia Mbowe kwenye fainali zilizofanyika kwenye ukumbi wa Maisha Club Jijini Dar Es Salaam.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU