Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wafugaji nyuki kutoka Pemba na Rufiji waliotembelea shamba lake la nyuki ili kujifunza May 15, 2012. Kushoto kwake ni Ladislaus Mamanga ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) ambao ulidhamini safari hiyo na kulia kwa Waziri Mkuu ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba , Juma Kassim Tindwa.
Wednesday, May 16, 2012
WAFUGAJI NYUKI WAKUTANA NA WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wafugaji wa nyuki kutoka Pemba na Rufiji waliomtembelea nyumbani kwake Dodoma kwa ziara ya kujifunza ufugaji nyuki iliyodhminiwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), May 15,2012
0 maoni:
Post a Comment