Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwasha mwenge wa Uhuru wakati alipozindua mbio za mwenge huo kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya May 11, 2012. Kulia ni Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo,Dkt, Fenella Mkangara.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwasha mwenge wa Uhuru wakati alipozindua mbio za mwenge huo kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya May 11, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Mwenge wa Uhuru kiongozi wa Mbio za Mwenge huo, Ernest Mwanosa baada ya kuuwa katika uzinduzi wa mbio za mwenge huo kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya May 11, 2012.
0 maoni:
Post a Comment