Friday, June 22, 2012

AIRTEL YATOA VIFAA VYAMICHEZO KWA SHULE ZA MSINGI GONGOLAMBOTO

 Afisa uhusiano wa Airtel Jane Matinde akikabidhi jezi za mpira kwa Mwalimu wa Taaluma na michezo wa shule ya msingi ya Gongolamboto Jaika Mwl Almasi Shemdoe wakati Airtel ilipotembelea shule za msingi za Gongolamboto za Mwangaza, Maarifa na Gongolamboto Jaika na kugawa vifaa vya michezo
 Walimu wa shule za msingi za Mwangaza, Maarifa na Gongolamboto Jaika wakiwa na jezi zao mara baada ya kukabithi vifaa vya michezo na Kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel, makabithiano hayo yalifanyika katika shule ya msingi Maarifa Gongolamboto jijini  Dar es Saalam. Pichani (Katikati)  ni Afisa uhusiano wa Airtel Jane Matinde
 Afisa uhusiano wa Airtel Jane Matinde akikabidhi jezi za mpira kwa  Mwalimu mkuu wa shule ya msingi ya Maarifa Mwl Marietha Mulyalya wakati Airtel ilipotembelea shule za  Mwangaza, Maarifa na Gongolamboto Jaika
Gongolamboto na kukabidhi vifaa vya michezo hapo Jana
 Afisa uhusiano wa Airtel Jane Matinde akikabidhi jezi za mpira kwa  Mwalimu wa Taaluma na michezo wa shule msingi ya Mwangaza  Mwl Abdul Mwarami wakati Airtel ilipotembelea shule za  Mwangaza, Maarifa na Gongolamboto Jaika Gongolamboto na kukabidhi vifaa vya michezo hapo Jana
 Walimu wa shule za msingi za Mwangaza, Maarifa na Gongolamboto Jaika wakiteja jambo mara baada ya kukabithiwa vifaa vya michezo na Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel
Kikundi cha kwaya cha shule ya msingi ya Maarifa kitumbuiza wakati wa hafla ya kukabithiwa vifaa vya michezo illiyofanywa na Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel katika shule ya msingi Maarifa Gongolamboto jijini Dar esa saalam

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU