majia vs nasibu
FADHILI MAJIA ambae ni bingwa UBO international na bingwa wa taifa waflyweight-PST 2012, TPBO 2010,TPBC 2009 na chalenger wa ubingwa wadunia wa WBO Afrika 2009 south Afrika amepima uzito na afya kiujumlakwa ajili ya kumkabili mpinzani wake NASIBU RAMADHANI ambae ni bingwawa WBF(World Boxing Forum International Flyweight Title) 2011.
Zoezi zima la upimaji lilisimamiwa na TPBO likiongozwa na IBRAHIMKAMWE na kusema ya kuwa mabondia wote wapo katika afya njema na uzaniwao wote wamepata 50.8kgs kwa pamoja hivyo wapo sawa kupigana kwamujibu wa sheria za ngumi.
Tukumbuke majia alikwishawahi kuwa bingwa wa ubingwa huu mwaka 2008 nakuucha na kwenda kugombania ubingwa wa dunia south Afrika na hivyokukaa bila kuutetea na kuchukuliwa na Haji juma wa Tanga,kwa sasa upowazi na unagombewa tena na majia mwenyewe na nasibu Ramadhani bondiachipukizi na asiyepigika karahisi.
Katika mpambano huo pia kutakuwa na mapambano ya utangulizi kamaifuatavyo na uzani wao waliopimaleo katika mabano -Abdalamohamed"prince naseem"(63kgs) aataminyana na seba temba(64kgs) wamorogoro raundi6,venas mponji(58.5kgs) na Amos mwamakula(60kgs),Yohana Robert(62kgs) na Badi mombasa(61), Kasim mbundike(57kgs) naEpson john wa morogoro(57.8kgs), iddi mnyeke 63 na Fadhili awadhi 63mapambano yanategemewa kuanza saa kumi na moja jioni katika ukumbi waFRIENDS CORNER HOTEL
0 maoni:
Post a Comment