Friday, June 15, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MRADI WA KUINUA UBORA WA ELIMU YA MSINGI 'TZ 21 CENTURY BASIC EDUCATION PROGRAM' MKOANI MTWARA LEO.

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwaangalia na kuwasikiliza wanafunzi wa Shule ya Msingi Kambarage, walipokuwa wakijifunza kwa njia Kompyuta wakati alipofika shuleni hapo leo Juni 15, 2012, kwa ajili ya kuzindua Mradi wa Kuinua Elimu ya Msingi ijulikanayo kama 'Tz 21 Century Basic Education Program, mradi uliofadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID). Kulia ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Shukuru Kawambwa (kushoto) ni Mtaalam wa Mitaala wa Mradi huo, Adrehem Kayombo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwaangalia na kuwasikiliza wanafunzi wa Shule ya Msingi Kambarage, walipokuwa wakijifunza kwa njia Kompyuta wakati alipofika shuleni hapo leo Juni 15, 2012, kwa ajili ya kuzindua Mradi wa Kuinua Elimu ya Msingi ijulikanayo kama 'Tz 21 Century Basic Education Program, mradi uliofadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID). Kushoto ni Balozi wa Marekani nchini, Alfonso Lenhardt, (wa pili kushoto) ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Shukuru Kawambwa, (kulia) ni  Mtaalam wa Mitaala wa Mradi huo, Adrehem Kayombo.  
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwaangalia na kuwasikiliza wanafunzi wa Shule ya Msingi Kambarage, walipokuwa wakijifunza kwa njia Kompyuta wakati alipofika shuleni hapo leo Juni 15, 2012, kwa ajili ya kuzindua Mradi wa Kuinua Elimu ya Msingi ijulikanayo kama 'Tz 21 Century Basic Education Program, mradi uliofadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID). Kushoto kwake Mtaalam wa Mitaala wa Mradi huo, Adrehem Kayombo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwaangalia na kuwasikiliza wanafunzi wa Shule ya Msingi Kambarage, walipokuwa wakijifunza kwa njia Kompyuta wakati alipofika shuleni hapo leo Juni 15, 2012, kwa ajili ya kuzindua Mradi wa Kuinua Elimu ya Msingi ijulikanayo kama 'Tz 21 Century Basic Education Program, mradi uliofadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID). Katikati ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Shukuru Kawambwa (kulia) ni Naibu Waziri wa TAMISEMI, Majaliwa Kassim Majaliwa
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwaangalia na kuwasikiliza wanafunzi wa Shule ya Msingi Kambarage, walipokuwa wakijifunza kwa njia Kompyuta wakati alipofika shuleni hapo leo Juni 15, 2012, kwa ajili ya kuzindua Mradi wa Kuinua Elimu ya Msingi ijulikanayo kama 'Tz 21 Century Basic Education Program, mradi uliofadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID). Kushoto ni Mbunge wa Newala, Kaptein Msaafu, George Mkuchika.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwaangalia na kuwasikiliza wanafunzi wa Shule ya Msingi Kambarage, walipokuwa wakijifunza kwa njia Kompyuta wakati alipofika shuleni hapo leo Juni 15, 2012, kwa ajili ya kuzindua Mradi wa Kuinua Elimu ya Msingi ijulikanayo kama 'Tz 21 Century Basic Education Program, mradi uliofadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID). Kulia ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Shukuru Kawambwa.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiimba sambamba na wananfunzi wakati akiwaaga baada ya kushuhudia wakijifunza kwa njia ya Kompyuta wanafunzi wa Shule ya Msingi Kambarage, wakati alipofika shuleni hapo leo Juni 15, 2012, kwa ajili ya kuzindua Mradi wa Kuinua Elimu ya Msingi ijulikanayo kama 'Tz 21 Century Basic Education Program, mradi uliofadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID). 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe, kuzindua Mradi wa Kuinua Elimu ya Msingi ijulikanayo kama 'Tz 21 Century Basic Education Program, mradi uliofadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID). Kulia ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Shukuru Kawambwa

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU