Pichani kulia ni Ofisa Mahusiano na Matukio wa kampuni ya simu za mikononi ya Airtel,Dangio Kaniki akimkabidhi mkazi wa Arusha ambaye pia ni mfanyabiashara,Steven Chapille mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni kumi mara baada ya kuibuka mshini kwenye promosheni ya NANI MKALI iliyofanyika hivi karibuni jijini Dar,Pichani kati anaeshudia tukio hilo ni Alice Paulicen………….. Makabidhiano hayo yamefanyika leo (jana) kwenye Makao makuu ya ofisi za kampuni ya Airtel,Morocco jijini Dar.
Mkazi wa Arusha Steven Chapille akionekana mwenye furaha mara baada ya kukabidhiwa mfano wa hundi (yake) yenye thamani ya shilingi milioni kumi baada ya kuibuka mshindi wa promosheni ya NANI MKALI iliyofanyika hivi karibuni jijini Dar.
0 maoni:
Post a Comment