Monday, June 25, 2012

RAIS WA SAHRAWI AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MBILI

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Sahrawi,Mh. Mohamed Abdelaziz baada ya kumpokea jioni ya leo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Sahrawi,Mh. Mohamed Abdelaziz 
 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Sahrawi,Mh. Mohamed Abdelaziz wakiangalia ngoma za utamaduni
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Sahrawi,Mh. Mohamed Abdelaziz baada ya kumpokea jioni ya leo.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU