Timu ya Taifa imefungwa 2-1 na Ivory Coast katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali ya kombe la dunia 2014, bao la kwanza la Ivory Coast limefungwa katika dakika ya 23 na mchezaji Solomoni Kalu wakati bao la pili likifungwa na Drogba.
Kwa matokeo hayo Taifa Stars inatakia ipate ushindi wa zaidi ya magoli matatu kwa bila.
1 maoni:
safi kabisa... nimeipenda hii
Post a Comment