Wananchi hao wakiwemo waTanzania walikusanyika katika viwanja vya Down Town Washington DC siku ya Jumamosi June,2,2012 katika kuitikia wito wa kuunga mkono wanawake ambao wanakabiliwa na ugonjwa wa saratani ya maziwa, utafiti na elimu dhidi ya ugonjwa huo
Tukio hili liliaza kwa matembezi ya vikundi vya mataifa mbali mbali wanaoishi hapa nchini marekani
Watembeaji wengi waliohudhuria katika matimbizi hayo kutoka majimbo mbali mbali nchini Marekani
Maradhi ya saratani ya maziwa yanakisiwa kuwadhuru watu 25 milioni kote ulimwenguni ambapo kama hatua haitochukuliwa inakisiwa watu milioni 10 kufa katika kipindi cha miaka 25 ijayo.
Kina dada wwakiwa katika matembezi ya kupiga vita ogonjwa wa saratani ya maziwa siku ya Jumamosi June,2,2012 ndani ya washington D.C nchini Marekani.
Rais wa Jumuia ya waTanzania DMV Mh. Iddi Sandaly, wakwanza kushoto, Waheeda Margaret Gathesha, Chief wa swahilivilla Abou Shatry, Aunt Rehema, pamoja na Salma Jay Jay pia alikuwepo katika matembezi ya kupigana na ujongwa wa saratani ya maziwa hapa Washington DC.
Wazawa wa kitanzania wanaoishi nchini marekani wakiwa katika matembezi ya kupiga vita ogonjwa wa saratani ya maziwa mapema leo jumamosi June,4,2011 ndani ya washington D.C nchini marekani.
Jamii iliyostaarabika ni yenye kuheshimu Mawazo & Mitazamo ya wengine. Mchango wako katika kazi yoyote ulenge kujenga jamii yenye Kujitambua, Kujithamini na Kujiwajibisha.
Warembo wa kiTanzania wakiwa mstari wa mbele katika mpango mzima wa kutimiza mwendo wa mile tatu
Team Tanzania waki wakiwa kipata picha ya pamoja katika kuitikia wito wa kuunga mkono wanawake ambao wanakabiliwa na ugonjwa wa saratani ya maziwa, utafiti na elimu dhidi ya ugonjwa huo.
Mamia ya watu kutoka sehemu mbali mbali waliungana kwa pamoja katika zowezi hilo la kuunga mkono wanawake ambao wanakabiliwa na ugonjwa wa Saratani ya maziwa.
Wana nchi wakiwa katika mwendo wa Susan G.Komen. kumaliza vita dhidi ya maradhi ya Saratani ya Maziwa Susan G.Komen. 2012!
Kina kaka nao pia hawajajiweka nyuma kuunga mkono Susan G.Komen. kumaliza vita dhidi ya maradhi ya Saratani ya Maziwa Susan G.Komen. 2012! ndani ya Washington DC.
Ahsanteni sana Auntie Rehema na Dada Zuhura, kwa kutupa muamko wa kuwajibila na kushiriki katia zowezi haya hili la kupiga vita ugonjoa huu wa satarani ya maziwa. M/mungu akujalie Afya njeema Insha-Allah Ameen.!
Latino Team pia hawakujiweka nyuma kupiga vita ungonywa huo hatari unaowapa tabu kina Mama
Mamia ya wananchi wakiwa katika matembezi ya Susan G.Komen. 2012! Down Town Washington DC
Dada Sofia na akiwa katika matembezi pamoja na Team Tanzania na nyengine mchanganyiko
Team Tanzania baada ya kumaliza matembezi ya Susan G.Komen. dhidi ya kupiga vita maradhi ya Saratani ya maziwa.
0 maoni:
Post a Comment