Tuesday, July 10, 2012

CASTLE LAGER SUPER FAN

BENSON KALOLO
FERDNAND K. NYAMBAYA
SONDA MDENDEMI

Mshindi wa hatua ya awali ya Castle Lager Super fan Bwana Ferdinand Nyambaya Mkazi wa Makondeko mkoani Mbeya akishangilia ushindi huo mara baada ya kufanikiwa kuingia kwenye kinyanganyiro hicho.Mshindi atapata zawadi na nafasi ya kuwakilisha Taifa kwenye kuunda timu ya Afrika United Super fan itakayokuwa ikishangilia kwenye mashindano ya Afrika nchini Afrika ya Kusini

Mshindi wa hatua ya awali ya Castle Lager Super fan Bwana Benson Kalolo Mkazi wa Mako Mbeya akishangilia ushindi huo mara baada ya kufanikiwa kuingia kwenye kinyanganyiro hicho.Mshindi atapata zawadi na nafasi ya kuwakilisha Taifa kwenye kuunda timu ya Afrika United Super fan itakayokuwa ikishangilia kwenye mashindano ya Afrika nchini Afrika ya Kusini

Mshindi wa hatua ya awali ya Castle Lager Super fan Bwana sonda mdendemi Mkazi wa Mako Mbeya ARRM akishangilia ushindi huo mara baada ya kufanikiwa kuingia kwenye kinyanganyiro hicho.Mshindi atapata zawadi na nafasi ya kuwakilisha Taifa kwenye kuunda timu ya Afrika United Super fan itakayokuwa ikishangilia kwenye mashindano ya Afrika nchini Afrika ya Kusini

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU